Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama waonekanavyo pichani wakiwa katika maandamano ya amani yaliyofanyika leo huko Mkoani Mara, huku polisi wa kutuliza ghasia maarufu kama FFU wakisindikiza maandamano hayo ili kuhakikisha yanamalizika kwa amani.
No comments:
Post a Comment