To Chat with me click here

Tuesday, July 31, 2012

MKOBA AKIONYESHA FOMU YA VITISHO ILIYOTOLEWA NA SERIKALI DHIDI YA WALIMU ILI WASITISHE MGOMO!

MKOBA AKIONYESHA FOMU YA VITISHO ILIYOTOLEWA NA SERIKALI DHIDI YA WALIMU ILI WASITISHE MGOMO LAKIN MKOBA KASEMA MGOMO UMEANZA LEO NAWALIM WASIOGOPE MPAKA KIELEWEKE.

WALIMU HAWAPO DARASANI WATOTO FULL KUCHEZA! 

 MGOMO WA WALIMU RUANGWA-LINDI hali ni tete watoto full kucheza,hakuna waalimu madarasani.

No comments:

Post a Comment