Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika
mazungumzo na Ujumbe wa Rotary Tanzania na Rais wa Rotary Interantional
2012-13, Sakuji Tanaka, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es
Salaam kwa mazungumzo jana Julai 28, 2012.
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akiagana na Rais wa Rotary International 2012-13, Sakuji
Tanaka, baada ya kumaliza mazungumzo wakati Rais huyo alipofika Ofisini
kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es Salaam jana Julai 28, akiwa na Ujumbe wake
kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Rotary Tanzania, na Rais wa
Rotary International 2012-13, Sakuji Tanaka, baada ya mazungumzo wakati
walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam, jana Julai 28, 2012 kwa
mazungumzo. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment