To Chat with me click here

Saturday, July 28, 2012

KATIBU WA CHADEMA MKOANI ARUSHA AKABIDHI KADI KWA WANACHAMA WAPYA WASHINGTON DC

Katibu wa CHADEMA Mchungaji Amani Golugwa akimkabidhi mwanachama mpwa tawi la DMV Mama Grace Mwang'mbe kadi ya Chama hicho Ijumaa July 27, 2012 Mt. Rainier, Maryland.

Katibu wa CHADEMA Mchungaji Amani Golugwa akimkabidhi mwanachama mpwa tawi la DMV Levina Mwang'mbe kadi ya Chama hicho Ijumaa July 27, 2012 Mt. Rainier, Maryland kulia ni Mwenyekiti CHADEMA DMV Nd. Cosmas akishuhudia.

Kutoka kushoto ni Katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha, Mchungaji Aman Golugwa, Mwenyekiti tawi,  la DMV,  Nd. Cosmas na Liberatus Mwang'ombe aliyekua Katibu wa muda CHDEMA DMV wakipata picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment