Rais Jakaya Mrisho Kikwete 
katika mazungumzo na wajumbe wa Kamati Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na 
Usalama jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete 
katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, 
Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete 
akimsindikiza Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na 
Usalama Mhe Edward Lowassa baada ya kukutana nao jijini London, 
Uingereza, 
Julai 12, 2012.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete 
akishiriki katika kikao maalumu cha maandalizi ya mkutano wa 
Commonwealth Partnership for Technology Management (CPTM) kwenye makao 
makuu ya CPTM inayojiandaa kwa mkutano wake mkuu wa Global 2012 
International Smart Partneship Dialogue unaotarajiwa kufanyika mwezi Mei
 Mwakani jijini Dar es Salaam.

 
 
No comments:
Post a Comment