Katibu
 Mkuu wa Chadema, Wilbrod Salaa akiwasili kwenye Ofisi za Makao  Makuu 
ya Jeshi la Polisi mjini Dar es Salaam, kutii amri ya polisi  iliyomtaka
 kutoa maelezo kuhusu madai yaliyotolewa na chama hicho  juzi  kati 
kwamba kuna njama zinafanywa na vyombo vya ulizni na usalama vya  
serikali kuwaua baadhi ya viongozi wa chama hicho. Kulia ni aliyekuwa  
Mbunge wa Arusha mjini.
 Polisi akiwaonyesha njia Dk. Slaa na mwenzake
Baadhi ya watu waliokuwa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kutaka kujua kilichokuwa kikiendelea
 Kisha akazungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa na polisi
 wafuasi wakasukuma gari lake wakati akiondoka

 
 
No comments:
Post a Comment