To Chat with me click here

Saturday, July 14, 2012

INTERNET NA STESHENARI YA KISASA KUFUNGULIWA KARIBUNI

Kattikiro Internet Café & Stationary (Gongo la Mboto na Yombo Vituka) ni moja ya ofisi bora zaidi zinazotoa huduma ya Intaneti na Steshenari hapo Gongo la Mboto na Yombo Vituka. Ofisi zetu ni ofisi zenye mandhali nzuri kwa wafanyakazi na wateja wake kwa ujumla. Ofisi hizi zina viyoyozi na zimetengenezwa (designed) katika hali ya kisasa zaidi ili kuweza kukidhi mahitaji ya wateja wetu wote. 
Usisizte kutembelea ofisi hizi kwa ajili ya kujipatia huduma bora toka kwa wafanyakazi wenye uwezo wa hali ya juu katika kuwahudumia wateja wake. Bei zetu ni nafuu na ambazo watu wa kipato hata cha hali ya chini wanaweza kuzimudu. 

Huduma zitolewazo: 
  1. Internet yenye speed kali (HighSpeed Broadband Internet Service upto 3.5 Mbps) 
  2. Huduma ya Steshenari mfano: Typing, Printing, Lamination, Binding, Books etc. 
  3. Huduma zote za usambazaji wa vifaa vya mashuleni na maofisini. 
  4. Computer Maintanance and Repair 
Hivi ndivyo Kattikiro Internet Cafe' (sehemu ya Internet) zilivyo na maadhi mazuri.
 
 Kama ionekanavyo pichani, hapo ni sehemu ya Steshenari huduma zikiendelea.

KARIBUNI WOTE KWA HUDUMA BORA..
 
 

No comments:

Post a Comment