Kuvuta sigara “kunaozesha” ubongo kwa
kuathiri vibaya kumbukumbu, uelewa wakati wa masomo na uwezo wa kushauriana.
Hii ni kulingana na wachunguzi wa King’s College, nchini Uingereza.
Uchunguzi
wa watu 8,800 wenye umri wa zaidi ya miaka 50 ulionyesha kwamba shinikizo la
damu na uzito kupita kiasi pia ziliathiri ubongo, lakini kwa kiwango cha chini
zaidi.
Wanasayansi
walisema ni sharti watu wajue kwamba hali ya maisha inaweza kuathiri vibaya
ubongo pamoja na mwili. Wachunguzi
nchini Uingereza walikuwa wanachunguza uhusiano kati ya hali ya ubongo, na visa
vya shtuko wa moyo na kiharusi.
Shirikisho
la kuhamasisha kuhusu ugonjwa wa Alzheimer, unaoathiri ambavyo watu wanakumbuka
mambo, ulisema: "Sote tunafahamu ya kwamba uvutaji sigara, kuweko kwa
shinikizo la damu, kipimo cha Cholesterol au kiwango cha juu cha mafuta
mwilini, huathiri vibaya moyo. Uchunguzi huu unadhihirisha kwamba vyote hivi
pia vinaathiri ubongo.
"Ni
sharti watu wale chakula chenye lishe bora, wawe na uzito wa kadri, wafanye
mazoezi mara kwa mara, wapimwe shinikizo la damu na cholesterol, na pia
wasivute sigara."
Kuvuta
sigara “kwaozesha” ubongo kwa kuathiri vibaya kumbukumbu, masomo na uwezo wa
kushaurianana, kulingana na wachunguzi wa King’s College, London.
Uchunguzi
wa watu 8,800 wenye umri wa zaidi ya miaka 50 ulionyesha kwamba shinikizo la
damu na uzito uliopita kiasi pia ziliathiri ubongo, lakini kwa kiwango cha
chini zaidi.
Wanasayansi
walisema ni sharti watu wajue kwamba hali ya maisha inaweza kuathiri vibaya
ubongo pamoja na mwili. Wachunguzi
wa King's College walikuwa wanachunguza uhusiano kati ya hali ya ubongo, na
visa vya mshtuko wa moyo na kiharusi.
shirikikisho
la kuhamasisha ugonjwa wa Alzheimer, unaoathiri kumbumkumbu, ulisema:
"Sote tunafahamu ya kwamba uvutaji sigara, kuweko kwa shinikizo la damu,
kipimo cha cholesterol cha juu, huathiri vibaya moyo. Uchunguzi huu
unadhihirisha kwamba vyote hivi pia vinaathiri uongo.
No comments:
Post a Comment