Rais, Jakaya Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha maombolezo msibani kwa Mhe. Jackson Makweta |
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Ghalib Bilal naye akiweka sahihi katika kitabu cha maombolezo msibani hapo |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Uratibu Bunge, Mhe. William Lukuvi akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiaga mwili wa Marehemu Jackson Makweta |
Spika wa Bunge, Mhe. Anne Makinda akiaga mwili wa Marehemu Jackson Makweta |
Mama Salma Kikwete akiwa pamoja na baadhi ya wafiwa msibani hapo. |
No comments:
Post a Comment