Kamanda Ramadhani katika moja ya harakati zake za kisiasa Jimboni Ukonga |
NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KWA NIABA YA KAMANDA RAMADHANI, KATIBU WA KATA YA MAZIZINI JIMBO LA UKONGA KUWA TAARIFU WAPAMBANAJI NA MAKAMANDA WOTE KUWA KAMANDA MWENZETU RAMADHANI ANAHITAJI MAOMBI YETU NA MSAADA WETU WA HALI NA MALI BAADA YA BABA YAKE MZAZI KUPATA AJALI YA GARI ILIYOTOKEA LEO MUDA WA MCHANA AKIWA ANATOKEA IFAKARA KUJA MOROGORO MJINI KATIKA MAJUKUMU YAKE YA KILA SIKU.
MIMI (Maxmillian Kattikiro Blog) PAMOJA NA WADAU WENGINE WOTE TUNAUNGANA NA KAMANDA RAMADHANI KATIKA KUOMBA NEEMA NA KUDRA ZA MWENYEZI MUNGU KATIKA KUNUSURU MAISHA YA BABA YAKE MZAZI. MWENYEZI MUNGU AMJAALIE UVUMILIVU NDUGU RAMADHANI PAMOJA NA FAMILIA YAKE NA AFYA NJEMA BABA YETU.
TUNAAMINI KUWA, KWA MAOMBEZI YETU NA MSHIKAMANO WETU WANA-CDM WOTE, MZEE WETU ATAPATA NAFUU NA KUPONA HARAKA ILI ARUDI KATIKA SHUGHULI ZAKE ZA KILA SIKU ZA UJENZI WA TAIFA PAMOJA NA MAJUKUMU YAKE YA KIFAMILIA.
No comments:
Post a Comment