To Chat with me click here

Tuesday, November 20, 2012

WAKULIMA WAANZA KUTAYARISHA MASHAMBA



Mkulima wa mahindi na mtama wa Kijiji cha Nkuhi, mkoani Singida, Abdallah Mumwi, akisafisha shamba lake ikiwa ni maandalizi ya kilimo, kama alivyokutwa na mpigapicha wetu hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment