JANA ILIKUWA NI MIAKA MINNE KAMILI (4) TANGU (1940 -2008) BABA YETU MPENDWA
FIRDBERTY BANGAILUBUGUSA NSANZUGWANKO ULIPOTUTOKA HAPA DUNIANI KWA UGONJWA WA FIGO.
UNAKUMBUKWA SANA NA MKEO ROSE NSANZUGWANKO, WATOTO WAKO, VEDASTO, JULIANA, OLIVER, THEOPISTA, IMMACULATE, PATRICIA NA BEATRICE. KADHALIKA UNAKUMBUKWA NA WAJUKUU ZAKO: BENARD, CATHERINE, CHRIS, LISSAH, WITNESS, TONY, VIVIAN NA MAUREEN.
WAKWE ZAKO PIA HAWAKUKUSAHA KWANI UMEKUWA MFANO BORA SANA KWAO HUSUSANI KATIKA MAISHA YENYE UADILIFU NA YA KUTHAMINI WENZI WAO. HIVYO WANAKUKUMBUKA SANA.
SISI SOTE TULIKUPENDA SANA, LAKINI TUNAAMINI KUWA MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI KIASI CHA KUKUITA KUTOKA KATIKA DUNIA HII ILI UWE KARIBU NAYE HUKO ULIKO. HIVYO TUNAKUOMBEA KWA MUNGU ILI AENDELEE KUKUPA PUMZIKO LA AMANI.
RAHA YA MILELE AKUPE BWANA, NA MWANGA WA MILELE AKUANGAZIE. PIA AILAZE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI.
AMINA.
No comments:
Post a Comment