Godbless Lema mara baada ya kushinda kesi yake leo mahakama ya Rufani |
Habari zilizotufikia hapa mtandaoni
kutoka kwa mtu wetu aliyepo mahakamani ni kwamba Mbunge wa Arusha mjini
Godbless lema ameshinda rufaa yake ya ubunge.
Rufaa hiyo ilikuwa inasikilizwa
mahakama kuu ya rufaa jijini Dar es salaam.Kwa
maaana hiyo ni kwamba lema kwa sasa atakuwa mbunge halali wa arusha mjini.
No comments:
Post a Comment