| Mhe. Peter Msigwa | 
Mbunge 
wa  jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa amewataka  wafanyabiashara 
ndogo ndogo (machinga ) mjini Iringa  kuendelea  kufanya kazi
katika  eneo la Mashine  tatu  bila  kufanya 
vurugu  zozote kwa  wale wanaozuia kufanya  hivyo.
Akizungumzia suala la Machinga kuendelea kunyanyasika mbunge Msigwa amesema kuwa tayari suala hilo ameanza kulipigania bungeni kwa waziri mwenye dhamana hivyo kamwe machinga Iringa wasikubali kunyanyasika .
Aidha mbunge huyo amemtaka katibu mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Bw Kinana kutosubiri muda wa siku 21 alizozitoa kumfikisha mahakamani kuwa yupo tayari kwenda mahakamani hata kesho.
Mbunge Msigwa amesema kuwa katika ukweli kama hata kuwa tayari kumwogopa mtu na kuwa siku zote atasimama katika ukweli katika kupigania maslahi ya Taifa hili.
Mbunge Msigwa amesema kuwa hatua ya katibu mkuu wa CCM kukimbilia katika vyombo vya habari kutishia kumfikisha mahakamani bila yeye mhusika kupelekewa taarifa ni sawa na kumwogopa na hivyo suala la Kinana kwenda Mahakamani si sawa na kumtishia nyau mtu mzima.
Kwani alisema kuwa Chadema ina mawakili waliojitosheleza na kuwa hawatanyamaza kusema ukweli kwa kuogopa vitisho vyovyote .

No comments:
Post a Comment