TAARIFA
KWA UMMA
WAGOMBEA
WA UDIWANI - KANDA YA KASKAZINI
Tarehe
15 Mei 2013, wagombea wafuatao wa CHADEMA walipitishwa na TUME YA UCHAGUZI
kuwania nafasi za uwakilishi (UDIWANI) katika maeneo ya kata mbalimbali za kanda
ya Kaskazini. Wagombea hawa walipita katika mchujo wa uteuzi wa chama. Chama
kina matarajio makubwa sana kuwa wananchi wa maeneo haya ya kata hizi watapata
fursa nzuri ya kuwachagua wagombea wa CHADEMA ambao wana dhamira njema sana na
ya kweli katika kuwatumikia.
Wagombea
waliopitishwa pamoja na mikoa yao ni:
JINA
LA MGOMBEA
|
KATA
|
JIMBO
|
MKOA
|
BI.
YOSEPHA KOMBA
|
GENGE
|
MUHEZA
|
TANGA
|
BW.
OMARI HATIBU SALIMU
|
TINGENI
|
MUHEZA
|
TANGA
|
BW.
LAWRENCE SURUMBU TARA
|
BASHNET
|
BABATI
VIJIJINI
|
MANYARA
|
BW.
ERNEST JOROJIK
|
DONGOBESH
|
MBULU
|
MANYARA
|
ENG.
JEREMIAH MPINGA
|
ELERAI
|
ARUSHA
MJINI
|
ARUSHA
|
BW.
RAYSON NGOWI
|
KIMANDOLU
|
ARUSHA
MJINI
|
ARUSHA
|
BW.
MALANCE KINABO
|
THEMI
|
ARUSHA
MJINI
|
ARUSHA
|
BW.
EMMANUEL KESSY
|
KALOLENI
|
ARUSHA
MJINI
|
ARUSHA
|
BW.
JAPHET SIRONGA LAIRUMBE
|
MAKUYUNI
|
MONDULI
|
ARUSHA
|
CHAMA
kimejipanga kushiriki uchaguzi huu kikamilifu sana na katika maeneo yote kanda imeteua
MAMENEJA WA KAMPENI ili kuhakikisha uratibu na utekelezaji wa kampeni kwa mfumo
tuliouweka.
Imetolewa
leo tarehe 16 Mei 2013.
Amani
Golugwa
Katibu
wa Kanda ya Kaskazini
No comments:
Post a Comment