Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiaga na baadhi
ya wazee waliohudhuria shughuli za msiba, wakati alipokuwa akiondoka baada
ya kuhani msiba wa mwasisi wa TANU, Ally Sykes, aliyefariki jana jijini
Nairobi. Marehemu Sykes anazikwa kuzikwa leo jioni jijini Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment