To Chat with me click here

Monday, February 18, 2013

BAVICHA UKONGA WACHANGISHA MAMILIONI ....

HIVI NDIVYO JINSI HARAMBEE YA BAVICHA JIMBO LA UKONGA ILIVYOKUWA HAPO JANA KATIKA UKUMBI WA MVUNGI PUB - MZAMBARAUNI UKONGA. 

Mwenyekiti wa Bavicha Ndg. fredrick Kabati akizungumza
Mwenyekiti wa Jimbo la Segerea naye akichangia kitu kwenye harambee hiyo.
Katibu wa Jimbo la Ukonga Ndg. Juma Mwaipopo akizungumza katika hafla hiyo.
Nixon Tugara : Aliyekuwa Mgeni Rasmi katika hafla hiyo akizungumza
Mweka Hazina wa Jimbo Ndg. Irene akikabidhi mchango wake kwa Mwenyekiti wa Rasilimali Fedha Bw. Maxmillian Kattikiro katikia Harambee hiyo.
Baadhi ya wageni wakiwa kwenye sala ya ufunguzi wa Harambee hiyo 
Katibu wa Jimbo ndg. Mwaipopo akimsindikiza nje ya ukumbi M/hazina wa Jimbo, baada ya kupokea taarifa za msiba wa binamu yake akiwa katika Changizo hilo la Bavicha. 
Makamanda katika picha ya pamoja.

 

No comments:

Post a Comment