Dr. Steven Ulimboka kama aonekanavyo pichani, baada ya kukutwa akiwa hoi kwa kufanyiziwa na watu wasio julikani.
Dr. Ulimboka akiwa ndani ya gari akipelekwa hospitali kwa ajili ya matibabu, huku akiwa ameumia vibaya sana kutokana na kufanyiziwa huko.
Hapa akiwa anakunywa maji (Uhai) ili kupoza koo kidogo. Kwakweli hali hii inasikitisha sana.
Hapa Dr. Ulimboka akiwa hospitali ya Taifa, Muhimbili akipata matibabu kutokana na kufanyiwa na watu hao ambao mpaka sasa hawajajulikana.
No comments:
Post a Comment