Basi aina ya Coaster lililokuwa linatokea Mbeya kuelekea Kyela likiwa nyaka nyaka Muda mfupi baada ya kupata Ajali mbaya sana iliyotokea katika eneo la Mzalendo, kilomita chache toka Mbeya mjini.watu 13 wamefariki Dunia papo hapo na wengine 19 kujeruhiwa vibaya.
Gari la Mizigo ambalo limehusika na ajali hiyo likiwa pembeni ya barabara muda mfupi baada ya ajali hiyo kutokea katika eneo hilo la Mzaleondo.
Mmoja wa majeruhi akiwa katika Hospitali ya Rufaa jijini Mbeya baada ya kupatiwa matibabu
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mbeya wakiwa nje ya chumba cha kuhifadhia maiti kwa ajili ya kuwatambua ndugu zao masaa machache yaliyopita.
Polisi wa Usalama wa Barabarani wakiwa katika hospitali ya Rufaa ya Mbeya.
No comments:
Post a Comment