Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Canada nchini, Robert Orr ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam leo kuaga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago cha faru, Balozi wa Canada nchini, Robert Orr ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar salaam leo kuaga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Afisa wa Masuala ya Siasa katika ubalozi wa Canada nchini, Sebastien Lanthier (kulia) na balozi wake, Robert Orr (katikati) ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga leo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na kumkaribisha Balozi wa China nchini Bw. Lu Youqing, ofisini kwake jijini Dar -es- Salaam, kabla ya mazungumzo yao, Leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa China nchini Bw. Lu Youqing, ofisini kwake jijini Dar -es- Salaam, leo.
No comments:
Post a Comment