Moja kati ya Mabasi yaliyokodiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kubeba mashabiki wake, likiwa linapambwa na kutiwa nakshi kwa rangi za chama hicho.
Wanachama wa CCM "Magamba" wakiwa wanaelekea katika viwanja vya Jangwani kwa ajili ya mkutano wa hadhara uliokuwa ukifanyika leo.
Hivi ndivyo ilivyokuwa, katika viwanja hivyo kulingana na vyanzo vyetu vya habari.
Maelefu wakiwa
wamefurika kwenye mkutano wa hadhara wa CCM unaofanyika jioni hii
kwenye VIwanja vya Jangwani, jijini Dar es Salaam.
watu mbalimbali waliofika kuhudhuria.
Watu wakiwa wanaelekea katika viwanja vya jangwani tayari kwenda kuwasikia viongozi wao.
watu wa rika zote wapo eneo hili wakiwa tayari.
watu mbalimbali waliofika kuhudhuria.
Watu wakiwa wanaelekea katika viwanja vya jangwani tayari kwenda kuwasikia viongozi wao.
watu wa rika zote wapo eneo hili wakiwa tayari.
No comments:
Post a Comment