To Chat with me click here
Showing posts with label Burudani. Show all posts
Showing posts with label Burudani. Show all posts

Monday, October 7, 2013

VAN PERSIE AFURAHIA KUKUTANA NA MTU MKUBWA NA MREFU HASHEEM THABEET WA TANZANIA




Haijalishi kuwa anapokea mshahara wa pound 12.2 milioni kwa mwaka akiwa na Manchester United (Red Devils), lakini Robin Van Persie akikutana na Hasheem Thabeet, lazima aonekane mbilikimo. Na pia haijalishi kuwa, Van Persie ni mshambuliaji kwenye timu bora kabisa duniani, lakini akikutana na mchezaji mrefu zaaidi kwenye ligi ya NBA, Hasheem Thabeet wa Tanzania, lazima a-post picha Instagram na kuonesha kufurahi kwake. 

Wamarekani wanasema, “real recognize real” na ndio maana Van Persie amepost picha aliyopiga na Hasheem Thabeet. 

Hebu fikiria kwamba, kama picha hii angeipost Hasheem mwenyewe, isingekuwa big deal au sio? Lakini kwa kuwa imepostiwa na Van Persie mwenyewe, kaka hiyo ni kitu kingine. Kumbuka kuwa obama aliwahi kumwongelea Hasheem na sasa Van Persie, kwaweli ubora na umahiri wa Thabeet unaonekana wazi. Keep it up Dogo Hasheem Thabeet, na hongera sana.

Monday, June 10, 2013

KANYE CELEBRATES HIS BIRTHDAY IN NYC — WITHOUT KIM




Kanye West

It was a happy birthday indeed for Kanye West, who celebrated turning 36 with a star-studded party on Saturday night in New York City. One face that was notably absent from the festivities, however? Oh, just the mother of his unborn child.

That's right, West, who was in town in advance of his performance at the Governors Ball music festival on Sunday, left his (extremely) pregnant girlfriend, Kim Kardashian, at home — back in Los Angeles. Throughout her pregnancy the couple has often been apart, which we spotlighted here, with Kanye recording an album in France and Kim back in L.A. with her reality TV family. However, he did attend her baby shower, arriving with a hooded sweatshirt pulled over his head.

While Kim sent Twitter messages of love and devotion to her man, West partied at the Caribbean-themed hot spot Miss Lily's with Kim's bestie Jonathan Cheban, Scott Disick, Nas, Jay-Z, and Beyoncé (who took the opportunity to further combat pregnancy rumors by sporting a sexy midriff-baring top that flashed her flat, toned abs).

As the A-list crew (presumably) ate, drank, and enjoyed being merry, Kim tweeted, "Happy Birthday to my best friend, the love of my life, my soul!!!! I love you beyond words!"

Happy Birthday to my best friend, the of my life, my soul!!!! I love you beyond words! instagram.com/p/aTgfI-OS-a/—Kim Kardashian (@KimKardashian) June 8, 2013
 
For added emphasis, she included a very crafty photo collage of some of their most lovey-dovey shots (see below).

As for West, he seemed to keep his soiree relatively low-key. The snaps from the evening show everyone looking relaxed and happy. Well, except for the fact that deep down they must all have been missing Kim … right?

Granted, the brunette beauty is too far along in her pregnancy to be allowed to fly, but then why not have a party in the good ol' City of Angels? Though Kim didn’t seem put off by being excluded, something tells us she would have preferred to spend the night by West's side.

Good thing there's always next year!

Tuesday, December 18, 2012

BABA GASTON NA KAKOELE VIVA KRISMAS



KILA mwaka katika kipindi kama hiki cha Majirio, yaani kuelekea siku ya kuzaliwa Kristo Masihi, Yesu Kristo (Krismas), kote duniani huwa kuna furaha kubwa mitaani na makanisani, majumba yakiwa yamepambwa kwa miti ya Krismas inayonukia, maua na vikorombwezo anuai kuikaribisha siku hiyo muhimu kwa wanadamu wote.

Zawadi mbalimbali huandaliwa kwa ajili ya kuwapatia ndugu na jamaa, Father Christmas naye akiwaandalia watoto zawadi, huku muziki mwororo ukitawala anga zote kupitia kwenye redio au televisheni.

Ni wakati huu ambapo muziki unaotawala huwa ni wa yule mkongwe wa muziki laini, marehemu Jim Reeves wa Marekani, ambaye vibao vyake 12 kikiwemo cha Jingle Bells pamoja na kundi la Boney M vibao vyao vinatamba duniani kote ikiwa ni pamoja na hapa Tanzania, ambako pia hukolezwa na kibao cha Komandoo Hamza Kalala kisemacho Noel-Krimas.

Lakini mbali na vibao hivyo, kwa ukanda mzima wa Afrika kibao ambacho hutamba zaidi na kuchukua chati ya juu ni kile kinachojulikana kama Kakoele, ama Viva Christmas au Noel Krismas, kwa vyovyote utakavyokiita.

Nasi kwa kuwatakia heri na baraka za kusherehekea sikukuu hiyo ya Krismas pamoja na Mwaka Mpya, kwa nia njema kabisa, leo tumeamua kuwaletea kibao hicho ambacho kimeimbwa kwa lugha ya Kilingala.

Wimbo huo umetungwa na kuimbwa na marehemu Ilunga Chenji Kamanda wa Kamanda Gaston Omer maarufu Baba Gaston Ilunga wa Ilunga, mwanamuziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (zamani ikiitwa Zaire) ambaye alikuwa maarufu katika ukanda mzima wa Afrika Mashariki na Kati kwa ujumla.

Kibao hicho kilichomo kwenye albam yake ijulikanayo kwa majina niliyoyasema hapo juu kilifyatuliwa takriban miaka 35 iliyopita nchini Kenya, lakini bado kinaendelea kutamba na kitaendelea kutamba kwa mashabiki na wafuasi wote wa dini ya Kikristo kutokana na ujumbe uliomo ndani.

Wimbo huo unaosikika kila ikaribiapo sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya uliweza kumjengea jina na sifa kubwa mkongwe huyo ingawa hakuwa mashuhuri kama walivyokuwa akina Joseph Kabasele ‘Le Grand Kalle’, Dk. Nico Kassanda ‘Kassanda Nicalay’, L’Okanga La Ndju Pene Luambo Luanzo Makiadi (Francis Makiadi) ama Franco na wengineo kutoka Zaire.

Aliifyatua albam hiyo kwa ajili ya nyimbo za Krismas tu kama alivyofanya Jimmy Reeves, ambapo ina jumla ya nyimbo tano ukiwemo huo wa Kakoele au Krismas. Nyingine ni Nakumbuka Krismas, Bewela Krismas, Super Krismas na Topele Krismas. 

Monday, December 10, 2012

MISS UNIVERSE 2012


Miss Universe: Winfrida Dominic
Winfrida Dominic, Miss Universe 2012, she will represent Tanzania Miss Universe 2012 competition to be held at USA on December 19. Vote for her now such that she can qualify some semi final round, remember you can vote online by following this link: 
http://missuniverse.com/members/profile/652697/year:2012
 Winfrida Dominic moved all around her country of Tanzania throughout her childhood, experiencing different cultures and tradition everywhere she went. Growing up, her schools taught many of the traditional dances of Tanzania, a country with more than 100 different ethnic groups. Winifrida is currently studying History, Geography, and English, in hopes of becoming an Ambassador for her country in the future and engaging in charity work.

I know how often at a young age, we are told that many of our dreams are not possible, that we are not good enough or pretty enough. I want my success the shared story for all of those who were told 'No.'



Monday, September 3, 2012

GOSSIP‘JACKLINE WOLPER’ KUWANIA UBUNGE 2015…!!



WAKATI baadhi ya wasanii wakishindwa kueleza wapo chama gani cha siasa, msanii anayechanua zaidi katika fani ya filamu bongo Jackline Wolper, inadaiwa kuwa anafanya mchakato wa kutaka kuchukua fomu kwenye moja ya vyama vyenye upinzani mkubwa Tanzania kwa ajili ya kungombea ubunge 2015 ingawa bado haijajulikana ni jimbo gani.

Wapo wasanii ambao waliwahi kuchukua fomu lakini baadaye walirudisha kwa madai kuwa fani zao za sanaa haziwezi kuendana na siasa, huku wakiamini kuwa watashindwa kupata mashabini kwani wanahisi wapo baadhi ya mashabiki wanaitikadi za kisiasa.

Rafiki wa karibu sana na msanii huyo aliyejitambulisha kwa jina moja la Irene, alidai kuwa msanii huyo yupo karibu na moja ya viongozi wa vyama viwili vya siasa vyenye ushindani mkubwa Tanzania lakini bado hajajua ataenda wapi.

Irene alidai kuwa uamuziki wa Wolper umekuja baada ya safari alizowahi kuzifanya bungeni na inaonekana shinikizo hilo limekuja baada ya kuonekana uwezo wake wa kujieleza na hata elimu yake vinaweza kumfanya akawa mwakilishi mzuri wa wananchi.

“Mimi siyo msemaji jamani pengine umuulize muhusika kwani nachoweza kukuambia ni kwamba anafanya mchakato wa kungombea ubunge na sijajua ni chama kipi kwani wapo baadhi ya wabunge ambao anazungumza nao kwa ajili ya ishu hiyo lakini bado hajawajibu lolote,” alisema Irene.

;Endelea kutembelea blog ya Maxmillian Kattikiro; haikusita kumtafuta mbunge huyo mtarajiwa ili afunguke kuhusiana na ishu hiyo na alipotikana mdada huyu alidai hakuna kisichowezekana chini ya jua na anaweza kuwa mbunge 2015.

Hata hivyo alishindwa kueleza uma kuwa atachukua nafasi hiyo kwenye chama gani au jimbo gani kwa madai kuwa bado mapema na mambo yatakapokuwa yameiva ataweka wazi.

Habari kwa hisani ya: Dartalk