Hii ni Kofia ya waendesha pikipiki ambayo inamwezesha mwendesha pikipiki kuona kwa nyumba bila kugeuza shingo wala kutumia vioo vya pembeni (side mirrors).
Flash Drive - hii ni ya kisasa kabisa, imetengezwa kwa GOLD na inauwezo mkubwa wa kutunza data zako. Uzuri wake zaidi ni kwamba ina lock-system, ambayo mtu hata akikuibia hataweza kuitumia labda awe anajua keyword yako.
Hiki ni chombo ambacho kinaweza kusaidia watu
wengi ku-control matumizi yao ya vitu mbalimbali kama sukari, chumvi,
n.k Kinauwezo wa kupima uzito au ujazo wa kitu kulingana na matumizi.
No comments:
Post a Comment